GET /api/v0.1/hansard/entries/1494819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494819,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494819/?format=api",
"text_counter": 52,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Bw. Naibu Spika. Sikuwa na nia yoyote mbaya kwa rafiki yangu, Sen. Wakoli, kutoka Bungoma. Naunga mkono Mawaziri wote walioteuliwa lakini nina shida na yale mambo yanayoendelea kuhusu SHA na nimeshangaa kwanini Waziri hakuja. Pia umesikia nikiongea kuhusu Bw. John Muturi Mugo kutoka Kiambere Ward. Stori yake ifanya mwili wangu usisikie vizuri. Ningeomba nisamehewe kwa yale nimeongea lakini next time, tutawatimua hawa Mawaziri. Umeona vile Sen. (Dr.) Khalwale ametoka hapa. Nadhani hayo ndio mambo yamemfanya atoke. Maseneta wengine wanakuja hapa wakiwa wanatetemeka. Bw. Naibu Spika, sikuwa na nia mbaya."
}