GET /api/v0.1/hansard/entries/1494833/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494833,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494833/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Ili nifike hapa mapema nilitoka nyumbani kumi asubuhi. ndio nipate nafasi ya kujadili kuhusu mengi hususan yanayohusu Wizara ya Afya ambayo ni muhimu sana katika nchi hii. Tunaweza jenga barabara na mambo mengi lakini hatuwezi yatekeleza majukumu haya kwa wafu. Wanaotumia hizo huduma ni waliohai. Namwombea Daktari Hon. Barasa apone haraka na apate nafasi ya kuja kujibu maswali. Waswahili husema kiserema hulima kuliko jembe jipya. Yeye ni daktari, kwa hivyo ni mzoefu wa mambo yanayolingana na hospitali na basi majibu ambayo tungepata saa hii yanafaa kusuluhisha maswali yote yaliyoulizwa. La kutatanisha sana ni majibu ya Waziri anayehusika na Wanyama pori, Hon. Duale, aliyekuwa pia Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge la Kitaifa. Lakini leo---"
}