GET /api/v0.1/hansard/entries/1494835/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1494835,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494835/?format=api",
    "text_counter": 68,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Hon. Rebecca Miano. Samahani nimepewa taarifa isiyo ya kweli na rafiki yangu hapa. Bw. Naibu Spika, Hon. Miano hakuwa mgonjwa lakini ameamua kuenda kuweka vifaru, vifaa vya ufuatiliaji katika hifadhi ya wanyama pori. Katika taratibu ya wanaombeba na uzito, anatuchukulia kwa bei rahisi kama bei ya chumvi. Ameweka vifaru kwanza halafu Bunge la Seneti linafuata. Kwa nini hangempa mwengine jukumu hilo? Nina uhakika kuwa sio yeye anaweka vifaa hivyo. Tumepoteza nafasi ya kuongea kuhusu kinachoendelea katika serikali. Waswahili husema ukikalia kuti kavu kuanguka sio ajali na---"
}