GET /api/v0.1/hansard/entries/1494854/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494854,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494854/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Tulipoanza huu Muhula, tulibadilisha kanuni tukasema, Wednesdays Mawaziri wawe wakija kujibu maswali ya Maseneta. Ikiwa Mawaziri, watendakazi, au the Executive wanaona kwamba hawawezi kuja hii siku kujibu maswali, tubadilishe kanuni kwa sababu kuna kazi nyingi sana za kufanya. Kuna maswali mengi ya Kamati ambayo hayajajibiwa na mengine yamemaliza miaka, kama vile maswali ya mashamba na tourism, mambo kupigano kati ya wanyama pori na wananchi. Kuna maswala mengi ambayo tungekuwa tunayafanya katika Kamati siku kama ya leo. Kwa hivyo, kama Mawaziri hawawezi kuja, ni vizuri tuangalie ili tubadilishe Kanuni ama Standing Orders ili tupate Wednesdays kama siku ya kuita Mawaziri na Kamati zetu kufanya kazi kawaida ili tuendelee kutunga sheria nakufanya zinginezo."
}