GET /api/v0.1/hansard/entries/1494856/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1494856,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494856/?format=api",
    "text_counter": 89,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": ", hii SHA haifanyi kazi. Huduma za afya zimedorora, haielewki inafanya kazi vipi na wananchi wetu wanateseka. Kwa hivyo, nakashifu kwa kinywa kipana kutokuja kwa Waziri wa Afya katika hili Bunge. Asante."
}