GET /api/v0.1/hansard/entries/1494906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494906,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494906/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika. Kulingana na Kanuni ya Kudumu ya 159(1) ya Bunge la Seneti, naomba kuondoa katika Ratiba, The Rice Bill (Senate Bills No.19 of 2023). Sababu kuu ni ili tushauriane na wahusika wakuu wakiwemo wakulima na wote wanaohusika ili kuwasilisa huu Mswada katika Seneti kwa safari moja. Asante sana."
}