GET /api/v0.1/hansard/entries/1495460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1495460,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1495460/?format=api",
"text_counter": 344,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Mhe. Spika, Lamu Mashariki ina mazingira tofauti. Maeneo yetu sio yale wanabara mnaita landmass . Kwetu ni watermass . Tunahitaji seawalls, yaani zile kuta za bahari. Kuna kijiji kinachoitwa Bwajumwali ambacho karibu kibebwe na maji. Watoto pia wanabebwa na maji. Kijiji hicho kilijengwa kikiwa kidogo."
}