GET /api/v0.1/hansard/entries/1495475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1495475,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1495475/?format=api",
"text_counter": 359,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa ya kuuliza swali la ziada. Je, Waziri ana ufahamu wa barabara katika Eneo Bunge la Kisauni ambayo imeanza Kiembeni kupitia Mwakirunge kwenda Rabai? Mhe. Rais alikuja kuanzisha rasmi ujenzi wa barabara hiyo inayojengwa na KeRRA. Alipoondoka, matingatinga yote yaliondoka yakamfuata. Je, Waziri ana habari hizo? Ana mipango gani ya kuendeleza ujenzi wa barabara hiyo badala ya kumwekea aibu Mhe. Rais?"
}