GET /api/v0.1/hansard/entries/14959/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 14959,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/14959/?format=api",
    "text_counter": 349,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, hawa wananchi wanastahili kulipwa haki yao na Waziri ambaye atajibu mambo haya kwa niaba ya Serikali yuko hapa. Hatutategemea kuambiwa kwamba haya matatizo yamesikizwa na yataangaliwa. Tunaweza kuambiwa kuwa hawa wananchi watalipwa pesa hizi. Kama Bunge hili haliwezi kutoa kauli mwananchi alipwe pesa zake, basi, tunataka Bunge lingine ambalo litatengeneza sheria na kutoa maamuzi ambayo yatatimizwa. Mimi sitakubali kukaa kwenye Bunge ambalo linatoa maamuzi ambayo hayatimizwi."
}