GET /api/v0.1/hansard/entries/1496972/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1496972,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496972/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Sisi wote tulioko hapa kama Maseneta bila kuogopa kwamba sisi sio maskini. Mshahara tunao na bima ya afya tunayo. Lakini tusisahau ya kwamba chanzo kubwa cha harambee zinazofanywa kule mashinani ni kwa sababu ya ukosefu wa afya, karo ya shule ama kwa wale waliopatwa na msiba na hawawezi hata kulipa fedha ili wapewe miili ya wapendwa wao waende wakaomboleze kwa amani."
}