GET /api/v0.1/hansard/entries/1496974/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1496974,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496974/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Mambo yale sisi hapa tunaweza kufanya bila shida yoyote ndio inawatatiza wananchi kule mashinani. Kama tutakuja kutengeneza Mswada, kama tutawabomolea daraja, lazima kwanza tuwafunze kuogelea. Ni lazima kwanza tutatue shida za afya kwa kuhakikisha kwamba Social Health Insurance Fund (SHIF) inafanya kazi, malipo ya shuleni kuanzia shule ya chekechea hadi chuo kikuu yapo."
}