GET /api/v0.1/hansard/entries/1496975/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1496975,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496975/?format=api",
    "text_counter": 197,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Najua hakuna atakayetusumbua na mambo ya kutoa fedha katika harambee. Waswahili husema, “Kutoa ni moyo, usambe ni utajiri.” Hakuna anayelazimishwa kwenda kutoa. Mtu hutoa kwa hiari yake. Swali nauliza, mzigo ulio kichwani, kwapa lakutokeani jasho? Kama sijalazimishwa mimi kutoa fedha, kwa nini nianze kutengeneza sheria ya pesa ambayo inatolewa na mtu anayetoa kwa hiari?"
}