GET /api/v0.1/hansard/entries/1496977/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1496977,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496977/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Shida tuliyonayo saa hii sio lazima itatuliwe kwa sheria. Ni tatizo ambalo linafaa kutatuliwa kwa kuweka miundo msingi mbele ili wananchi waweze kuendelea. Sheria kama hizi ndio wakati mwingine hufanya wananchi wajiulize kama waliweka chui zizini."
}