GET /api/v0.1/hansard/entries/1496978/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1496978,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496978/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Wakati tunapoomba viti, wanaotushikilia ngazi ni wale wananchi wa kawaida. Unajua, mtu anayehusika kupandisha wengine ngazi hupigwa teke kwa meno kwa sababu anayemshikilia anaenda juu ilhali miguu iko chini. Kwa hivyo, ni rahisi sana kumpiga teke kwa meno."
}