GET /api/v0.1/hansard/entries/1496979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1496979,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496979/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Hivyo basi nasema ya kwamba, mimi kama Seneta wa Kirinyaga, nikikaa katika baraza, wale wanaokalia kumbi na vigogo, vile wanavyoongea kuhusu shida walizonazo, mimi nitakuwa kama mtu wa kuwapiga teke kwa meno nikisema huu Mswada unafaa kwa wakati tulionao kwa sasa."
}