GET /api/v0.1/hansard/entries/1496982/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1496982,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1496982/?format=api",
    "text_counter": 204,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Mimi kama Seneta wa Kirinyaga, kwa sababu ya watu wa Kirinyaga na Kenya nzima, kwa wale wote ambao nimeongea nao na wale wanaoketi katika mabaraza kuongea shida zao na kutualika sisi kwenda kuwapa msaada, kwa ajili ya akina mama na wale ambao wamejiunga katika vikundi kule Kirinyaga ili kuchangisha pesa kusaidia waliofiwa, sitaunga mkono Mswada ulio mbele yetu."
}