GET /api/v0.1/hansard/entries/1497887/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1497887,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1497887/?format=api",
    "text_counter": 47,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana Mhe. Spika. Nachukua fursa hii kuwakaribisha Wabunge wote wa Bunge la Kumi na Tatu katika Kaunti ya Mombasa. Mje mfurahie na mtuleteee biashara katika Kaunti yetu. Pia nachukuwa fursa hii kukushukuru sana kwa kukaa na Kamati andalizi na kuamua Michezo ya Afrika Mashariki ichezewe Mombasa. Umetupa hadhi kubwa sisi wakaazi wa Mombasa. Mimi kama Mama Mombasa, nawakaribisha nyote na Afrika Mashariki nzima. Nitawaandalia madafu. Mje mfurahi na tulete ushindi nyumbani. Ahsante sana, Mhe. Spika."
}