GET /api/v0.1/hansard/entries/1497899/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1497899,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1497899/?format=api",
    "text_counter": 59,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kipipiri, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Wanjiku Muhia",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika, kama vile Mama Zamzam amewaeleza Wabunge kwamba anawakaribisha kule Mombasa, mimi pia kama Mwenyekiti wa mambo ya Jumia ya Afrika Mashariki nawaomba Wabunge wenzangu wajitolee kwenda kule Mombasa na washiriki kwenye michezo ya Afrika Mashariki. Kule kuna Wabunge kutoka"
}