GET /api/v0.1/hansard/entries/1498143/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498143,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498143/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nimesimama kumuunga mkono Mhe. Njeri. Mengi sana yamesemwa hapa. Nimemsikia Mhe. Farah Maalim akisema kwamba amepoteza watu wanane katika familia yao. Humu nchini, watu wengi sana wamepotea. Ni lazima Serikali ishughulikie mambo haya kwa sababu ni jukumu lake kutoa ulinzi kwa watu wake. Hivi sasa, hatuna waziri wa usalama. Pendekezo langu ni kwamba Mhe. Kimani Ichung’wah awe waziri wa usalama siku zijazo. Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Mungu akubariki."
}