GET /api/v0.1/hansard/entries/149822/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 149822,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/149822/?format=api",
    "text_counter": 541,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru mhe. Mungatana kwa kunipa nafasi ili nichangie Hoja hii. Hoja hii imekuja wakati unaofaa maana tumeona nchi yetu imeingia katika janga kwa sababu ya ufedhuli wetu, hasa, wakati wa kuchagua Mawaziri, Wasaidizi wao na Makatibu."
}