GET /api/v0.1/hansard/entries/1498233/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498233,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498233/?format=api",
"text_counter": 393,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili nami nitoe mchango wangu kwa huu Mswada ulioletwa hapa Bungeni. Kwanza, nimeangalia vipengele ambavyo vinazungumzia mambo ya waiver ya kutoa msamaha. Kwa hivyo, napinga Mswada huu. Ukitembea kwenye kaunti zetu, utapata ile fine ni nyingi sana kushinda ile ambayo mwananchi anafaa kulipa. Kuna sheria ambazo tunaweza kuweka za ku- regulate badala ya kusema waiver iweze kuondolewa maanake wakati huu, utapata tax ya Mombasa iko juu, na pengine ya Lamu iko chini. Yaani, hawafanyi kitu kwa pamoja. Hii inadhuru wanabiashara sana."
}