GET /api/v0.1/hansard/entries/1498234/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498234,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498234/?format=api",
"text_counter": 394,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Nimemskia Mhe. Owen Baya akisema kwamba containers hulipiwa cess zikivuka kila kaunti. Sijaskia kuhusu containers, lakini nimeskia kuhusu chakula. Malori ya kubeba chakula kutoka mashambani yakifika Nakuru ama Naivasha, yanalipishwa. Hii inaleta hasara kubwa sana kwa mwanabiashara. Tukitaka kukuza uchumi, lazima tupatie production nafasi ya kujiinua."
}