GET /api/v0.1/hansard/entries/1498242/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498242,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498242/?format=api",
"text_counter": 402,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo, naona hii Bill iko very harsh kwa mwananchi, na ina contradictions nyingi. Naomba walioileta waipige msasa na warekebishe sehemu ambazo ziko na utata ndio wailete hapa tuijadili ikiwa sawa na kuipitisha."
}