GET /api/v0.1/hansard/entries/149825/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 149825,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/149825/?format=api",
"text_counter": 544,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mara nyingi tumewaona watu wamepewa nyadhifa mbali, mbali ilhali taaluma zao ni tofauti sana na kazi walizopewa. Ningependekeza kwamba ndugu zetu ambao wamefuzu kama madaktari wapewa nafasi ambazo ni za udaktari."
}