GET /api/v0.1/hansard/entries/1498252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1498252,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498252/?format=api",
    "text_counter": 412,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Twalib Bady",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nichangie Mswada huu wa 35 wa 2024, juu ya utaratibu wa uokotaji wa ushuru katika gatuzi zetu (County Governments (Revenue Raising Process) Bill (National Assembly Bill No.11 of 2023). Mhe. Spika wa Muda, naunga mkono kwanza kwa kusema kuwa hali hii sio hali mbaya. Hii ni hali itakayoweza kutusaidia ili kuona kuwa sio wote katika gatuzi zetu wana uwezo wa kuamka siku moja na kusema kwamba wanataka kutoa ushuru wa jambo hili au lile. Kwa hivyo, naona Mswada huu utaweza kuthibiti zile kaunti juu ya jambo gani ambalo linatakikana kutolewa ushuru, na litamfaidi vipi wananchi. Vile vile, kwenye jambo hili, kuna wale Madiwani wa mara ya Kwanza, yaani first"
}