GET /api/v0.1/hansard/entries/1498254/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498254,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498254/?format=api",
"text_counter": 414,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Twalib Bady",
"speaker": null,
"content": ", ambao katika kila gatuzi, kuna sheria zake ambazo zinaitwa bylaws . Vile vile, hao madiwani kuona kwamba zile bylaws zikipitishwa, zisiwaumize mwananchi ambaye anamwakilisha katika sehemu yake. Lakini kuna mambo ambayo nitatofautiana kidogo na ndugu yangu, Mhe. Owen Baya, ambaye amenitaja kwa jina, na vile vile akamtaja Mhe. Kimani Ichung’wah. Amesema kuwa tulikuwa katika forum moja ya Port users, na tukasema kuwa jambo hili la kuwatoza watu ushuru kila mahali linafanya biashara iwe ngumu hapa Kenya. Ningetaka kumwambia ndugu yangu, Mhe. Owen, kuwa sisi kama County Government ya Mombasa, mpaka leo, bado tuna- demand na kusema kuwa ni haki yetu kupata ushuru unaotoka katika Bandari ya Mombasa. Kule Marekani, kuna bandari inayoitwa Long Beach, inayozalisha mapato kwa"
}