GET /api/v0.1/hansard/entries/1498256/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498256,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498256/?format=api",
"text_counter": 416,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Twalib Bady",
"speaker": null,
"content": "ya pale. Kule Afrika Kusini, kuna bandari inayoitwa Durban Port. Municipality yao inayoitwa Thekwini inazalisha mapato kutokana na Durban Port. Ukiangalia mahali kama Port of Antwerp, watu wanalipa ili watumie Port hiyo. Kwa hivyo, Port City ya Mombasa ina haki ya kupata ushuru kama vile nchi nyingine zinapata ushuru kutokana na port cities katika sehemu zao."
}