GET /api/v0.1/hansard/entries/1498261/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498261,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498261/?format=api",
"text_counter": 421,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Twalib Bady",
"speaker": null,
"content": ". Ukileta container, unapewa Bill of Lading, inayomaanisha kuwa wewe ndiye mmiliki halisi wa container hiyo. Ukifika katika shipping line, una- surrender Bill ofLading and in return, unapewa Delivery Order kwa bei ya USD $80. Hayo ndiyo mambo yanayofanya gharama ya kufanya biashara kuwa juu. Ndio maana leo hii tumepoteza biashara tuliyokuwa nayo kutoka Goma, Butembo, Kinshasa, Lubumbashi, Kampala na Rwanda. Wengi wao wanakimbilia Bandari ya Dar-es-Salaam kwa sababu Bandari hiyo imeondoa TerminalHandling Charges (THC) na Delivery Order Fee. Mtu akipeleka Bill of Lading yake, inajulikana kuwa hiyo ni mali yake."
}