GET /api/v0.1/hansard/entries/1498265/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498265,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498265/?format=api",
"text_counter": 425,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Twalib Bady",
"speaker": null,
"content": "Jambo la muhimu ni kuwa katika kukusanya ushuru, lazima kuwe na regulations . Tusiache serikali zetu za ugatuzi ziseme kuwa kuna charges tofauti tofauti⦠Nazungumza kama Mjumbe. Vile vile, namshukuru Mungu kwa kunipatia nafasi ya kuhudumu kama diwani. Kwa hivyo, naijua Kaunti ya Mombasa katika hali hiyo. Leo hii, kile ambacho serikali za kaunti zitaokota kama ushuru, sharti zikimu mahitaji ya sehemu zao. Kwa hivyo, naungana mkono na Mama wa Kaunti, Mama Zamzam, aliyesema kuwa ni muhimu watu walipe ushuru, kwa sababu Serikali haiwezi kuendelea bila ushuru. Kulipa ushuru ni kujitegemea."
}