GET /api/v0.1/hansard/entries/1498268/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498268,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498268/?format=api",
"text_counter": 428,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Twalib Bady",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Jane amekubaliana na mimi. Mtakula mishikaki na shawarma. Kando na yale tutakayokula Mombasa, nawaomba kwa unyenyekevu tuwe wangwana tutakapofika pale, kwa maana sisi pia ni wangwana. Msije mkawanyemelea wasichana wetu. Mhe. Owen, nakusihi uangalie hayo maswala. La muhimu ni makubaliano, wala yasiwe ya kushawishi. Msiwashawishe wasichana wetu bure. Cha kuwasawawisha tu ni walipe Ushuru katika Serikali ya Mombasa."
}