GET /api/v0.1/hansard/entries/1498275/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1498275,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498275/?format=api",
    "text_counter": 435,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe Spika wa Muda, nafikiri Mhe. Owen Baya amemuelewa vibaya Mhe. Bady. Sisi tuko na tabia ya kuwalinda watoto wetu. Pengine kuna mtu aliyekuwa na wazo tofauti kando na michezo. Njooni Mombasa, na mtakapofika, mjifurahishe vilivyo. Kuna kaimati, mahamri na mambo mengi mazuri. Watoto wetu watawahudumia kwa tabasamu. Do not take advantage of them maana nao pia ni watoto wetu. Baadhi yao wameolewa na wako sawa. Mje mfurahi kisha mrudi nyumbani. Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}