GET /api/v0.1/hansard/entries/1498293/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498293,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498293/?format=api",
"text_counter": 453,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dagoretti North, ODM",
"speaker_title": "Hon. Beatrice Elachi",
"speaker": null,
"content": "Naomba ndugu yangu aondoe aliyoyasema. Wakati huu Wakenya wanapojipata katika shida nyingi, ni vibaya sana kuwaambia kuwa sisi Wabunge tunaelekea Mombasa kwa starehe na kula hela zao. Aombe msamaha katika hii Nyumba na aondoe aliyoyasema."
}