GET /api/v0.1/hansard/entries/1498314/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1498314,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498314/?format=api",
    "text_counter": 474,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, nilivyoeleza mimi ni sawa alivyoeleza Mama Zamzam, kuwa sisi tuna desturi ya kulinda wasichana wetu. Hatukusema kwamba Wabunge watakuwa wameenda Mombasa kufuata wasichana. Kwa kuwa watapeleka ushuru, tulisema…"
}