GET /api/v0.1/hansard/entries/1498333/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498333,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498333/?format=api",
"text_counter": 493,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": " Kama alivyosema Mhe. Rindikiri, ni ukweli yeye ni rafiki yangu sana. Tulipanga kwamba akifika Mombasa, atakuja sehemu inayoitwa, ‘Kwa Ndege Ya Bady’. Hata wewe, Mhe. Spika wa Muda, umeingia kwenye ndege yangu. Kwa hivyo, tunawakaribisha watu watakaokuja pale Mombasa. Kwa wakati kama huu, mimi nikiwa Mjumbe, nimemsikia Mhe. Spika Wetangula akisema sisi viongozi wa Mombasa tuwe tayari kuwapokea wenzetu. Tutawapokea wenzetu kwa roho safi. Maneno niliyoyasema hapa Bungeni ni kuteleza kwa mdomo. Lakini sote tunapendana kama kitu kimoja na mkija tutawaonyesha ustaarabu na uungwana wa watu wa Mombasa. Lakini Mhe. Spika wa Muda, nachukua fursa hii kuunga mkono Mswada huu, lakini upigwe msasa ili sehemu nyingine ziratibiwe ziwe katika hali nzuri. Vile vile, ningependa Mswada huu usiue kujisimamia kwa kaunti na kwa national"
}