GET /api/v0.1/hansard/entries/1498335/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498335,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498335/?format=api",
"text_counter": 495,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "ili mambo yachanganywe pamoja. Sheria ya Katiba ya 2010 imepatia sehemu za ugatuzi uwezo wa watakayoyafanya. Kwa hivyo, Mhe Spika wa Muda, nakushukuru sana kwa kunipatia nafasi hii. Vile vile, ninashukuru Mhe. Owen pamoja na kiongozi aliyeleta Mswada huu ili tushirikiane, tuupige msasa na watu walipe ushuru ndio Kenya yetu iende mbele na Broad-Based Government iendelee washikane pamoja. Uchumi ukiwa mzuri, Kenya itaendelea mbeleā¦"
}