GET /api/v0.1/hansard/entries/1498339/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498339,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498339/?format=api",
"text_counter": 499,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Kwa upanuzi, Broad Based ni kuona kuwa Serikali yetu inaweza kwenda mbele. Kwa hivyo, tunaipongeza Serikali ya William Ruto na vile vile watu wakilipa ushuru Serikali itaweza kwenda mbele. Ahsante, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii na Members wenzetu wote. Njooni Mombasa tutakuwa tayari. Kwanza Mhe. Spika wa Muda, pole. Kuna kitu sijamaliza."
}