GET /api/v0.1/hansard/entries/1498609/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498609,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498609/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Samahani, Mhe. Spika. Leo sehemu yangu imevamiwa ndio maana nimekaa huku. Ningependa kumuuliza Bw. Waziri kwa nini waalimu wengi wamefanya kazi muda mrefu bila wao kupata promotion. Kisha, kuna ile pesa ambayo wanafunzi wanalipishwa inaitwa remedial . Unapata mwanafunzi amelipa school fees yote, lakini anafukuzwa nyumbani kwa sababu ya remedial. Hii pesa ya r emedial Bw. Waziri, imekuja kusaidia kitu gani na mbona ni lazima watoto wailipe?"
}