GET /api/v0.1/hansard/entries/1498824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1498824,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498824/?format=api",
    "text_counter": 418,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Waziri, fahamu kuwa watu wengi wamepoteza maisha yao juu ya hili swala. Kwa mfano, mtoto wa dadake Mhe. Millie Odhiambo-Mabona ambaye ni mwanasheria, anaugua ugonjwa wa saratani. Ukimuona hauwezi ukaamini maana anaenda kupoteza maini yake kutokana na ugonjwa huo. Waziri, kama hauna majibu, shauriana na Naibu Spika ambaye ni wazi kuwa amefanya utafiti wa kutosha ili akusaidie kwa hayo maswala. Hatuwezi tukakubali baadhi ya Wakenya wafe kwa madai kuwa kuna mtu anataka kujiinua kiuchumi kwa kupitia faida ya madawa ya kuua wadudu ambayo tumeambiwa yako hatari. Tunaomba yatolewe kwenye orodha ya madawa yanayouzwa nchini maana kuna zingine ambazo tunaweza tukazitumia ili zitusaidie kwa mazao zetu."
}