GET /api/v0.1/hansard/entries/1498825/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498825,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498825/?format=api",
"text_counter": 419,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Waziri, nakuomba kwa heshima na tadhima! Siko tayari kufa kutokana na huu ugonjwa wa saratani. Kwa heshima, mfuate Mhe. Naibu Spika ili akupe mawaidha ili tutoe hayo madawa kweye soko letu la Kenya."
}