GET /api/v0.1/hansard/entries/1498966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498966,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498966/?format=api",
"text_counter": 560,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Naibu Spika, hata akileta majibu, nataka Waziri atuhakikishie kuwa kuna barua ambayo tumemtumia kama SelectCommittee on Implementation tukimwalika awe pamoja nasi Mombasa tarehe 29. Nataka atuhakikishie kuwa atakuja kwa sababu Mawaziri hawa wametukwepa kwa muda mrefu. Hawaji kabisa kwa mikutano yetu ili tutatue shida hizo pamoja. Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika."
}