GET /api/v0.1/hansard/entries/1498983/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1498983,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498983/?format=api",
"text_counter": 577,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Mhesh. Naibu Spika, tulienda na Kamati ya Dayaspora kule USA na tukakutana na wanadayaspora wakatuambia – nataka Waziri ajue – kuwa demand ya korosho haijafikiwa hata robo. Wanahitaji korosho sana kule. Lakini kwa sababu mmea huu unatoka Pwani, haufanyiwi bidii. Kwa kuwa naona Serikali hii inazingatia mimea mingine, naomba ishughulikie sana korosho. Hii itainua Kenya kwa ujumla. Wengine wanapotoa chai na kahawa, na sisi tutoe korosho na Kenya itainuka."
}