GET /api/v0.1/hansard/entries/1499276/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1499276,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499276/?format=api",
    "text_counter": 139,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, ninasimama kuunga mkono Hoja hili haswa kwa sababu ya Lungalunga. Ninajua Lungalunga. Yale Mhe. Chiforomodo amesema ni kweli. Tukiangalia, Lungalunga ni hardship area iliyo na matatizo mengi sana. Vilevile, ninataka kuunga mkono alichosema ndugu yangu Mhe. Katana. Ninasema kuwa mahali panapoitwa Mroroni kule Jomvu ni mpakani na Kaloleni, ambapo pia Mheshimiwa wa Eneobunge la Rabai amesema ni hardship area . Kwa hivyo, ninamwomba kiongozi wetu Mhe. Owen Baya afanye bidii kuona kuwa"
}