GET /api/v0.1/hansard/entries/1499278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1499278,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499278/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "zote zilizotajwa ziwe specified kama hardship areas . Mfano ni Mombasa, kuliko na sehemu zilizo na shida kubwa sana. Watu wanaangalia mahoteli na hali zake zilivyo kisha wanaona kuwa Mombasa ni mahali pa starehe ilhali wenyeji ni wenye maisha magumu. Yafaa tujumuishwe kama hardship areas ama sehemu za hali ngumu ili nasi tupate manufaa kule Jomvu. Asante Mhe. Spika wa Muda."
}