GET /api/v0.1/hansard/entries/1499502/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1499502,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499502/?format=api",
"text_counter": 365,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Katika Mswada huu, niko sawa kabisa kumuunga hata mguu. Kabla mikono ishikane, ni lazima mguu ufanye kazi kumkaribia ndiyo niweze kumuunga mkono. Sikuwa na dhamira yoyote mbaya kama Mhe. wa Eneo Bunge la Jomvu anavyofikiria. Mimi na Mhe. Irene tuna heshima zetu na tunazungumzia mijadala kwa niaba ya Kenya nzima ili tuweze kuiokoa."
}