GET /api/v0.1/hansard/entries/1499579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1499579,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499579/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa hii fursa uliyonipa ili nikaribishe Kamati Maalum ya Sheria iliyokabidhiwa ya Bunge la Kaunti ya Taita Taveta. Walikuja jana na leo. Nafikiri wataondoka kesho. Wamepata fursa nzuri ya kukutana na Kamati Maalum ya Sheria ya Seneti. Najua wamejifunza mengi kwa sababu wamekuja kwa safari ya kujifunza. Karibuni sana Seneti. Seneti na Bunge za Kaunti zinafanya kazi sawa ambazo ni uangalizi, kutunga sheria na uwakilishaji. Najua tunapeleka pesa nyingi sana kwa gatuzi. Ugatuzi ndio kitu cha maana sana ambacho tulijipatia kwa Katiba ya 2010. Najua wamejifunza mengi kutokana na hii safari yao ya Seneti. Najua wakirudi watatekeleza. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}