GET /api/v0.1/hansard/entries/1499619/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1499619,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499619/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Ningependa kuongea dakika moja kuhusu Taarifa zilizoulizwa na Sen. Mundingi na Sen. Nyutu. Kwanza, polisi ni muhimi sana katika nchi hii ingawa watu wengi wanalalamika na pia nyuki hapigwi busu, polisi pia ni watu. Ukiangalia polisi wanaohamishwa kutoka mahali pamoja kupelekwa pengine, wako na familia zinazovunjika. Polisi anapochukua mtaji na kuweka katika ujenzi wa nyumba mahali pamoja, halafu anatolewa na kupelekwa mahali pengine anapofaa kulipa kodi, inaleta gharama ya ziada ambayo polisi wengi wameshindwa kukimu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}