GET /api/v0.1/hansard/entries/1499649/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1499649,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499649/?format=api",
"text_counter": 106,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Pia ningependa kuchangia taarifa ya Sen. Nyutu kuhusu timu ya amputees iliyowakilisha taifa letu katika michezo. Ni jambo la kusikitisha kuwa hawakupewa matayarisho kabambe ya kuliwakilisha taifa letu. Je, ni mikakati gani inayoweza kufanyika kupitia Wizara husika ili kuwawezesha kufanikiwa katika mashindano?"
}