GET /api/v0.1/hansard/entries/1499685/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1499685,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499685/?format=api",
"text_counter": 142,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13592,
"legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
"slug": "onyonka-richard-momoima"
},
"content": "Bw. Spika, nimemsikia ndugu yangu, Sen. Mungatana, akizungumza na nikajiuliza, yeye anaishi nchi gani? Huu Mswada haujaletwa hapa ili kumkataza mwananchi wa kawaida ama kiongozi ambaye ana pesa ya kutoa, asaidie mahali palipo na ugumu. Lengo la huu Mswada ni kuhakikisha ya kwamba wale viongozi ambao wamekuwa wakiiba rasilimali za wananchi, halafu unaenda kwa matanga ili kuonyesha watu masikini kuwa wewe unaweza kulipa shilingi 200,000 kumzika mtu aliyefariki The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}