GET /api/v0.1/hansard/entries/1499705/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1499705,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499705/?format=api",
"text_counter": 162,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chimera",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "hili kimakosa na wakaona sababu kuu, ambayo ni kwa nini sheria hii imefika katika Bunge letu la Seneti. Ni kutokana na msukumo wa vijana wetu Gen Z. Nawaunga mkono kwa sababu awali tuliona viongozi, baadhi ya watu katika nyadhifa mbalimbali katika uongozi nchini walikuwa mstari wa mbele kufanya Harambee ambazo nizakutishia."
}