GET /api/v0.1/hansard/entries/1499735/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1499735,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499735/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chimera",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Spika wa Muda, nafikiri ndugu yangu kutoka Nandi alikuwa anazungumza kuhusu mshtuko wa goti kuashiria kwamba tunaleta sheria kwa sababu ya kile kijulikanacho kwa Kimombo kama knee-jerk reaction . Sikumaanisha kwamba kuna msukumo kutoka sehemu mbalimbali. Hata hivyo, ikumbukwe kuwa vijana wetu walipiga kelele kuhusu taswira yote ya masuala ya harambee ndiposa tunaona sheria hii imefika Bungeni leo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}